MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
Unamjua Mtungirehi ni wa wapi au unajisemea semea tu.huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
Pitia vizuri kumbukumbu zako,Mwibara ilikuwa chini ya TLP kwa Mhe. Mutamwega Mugahywa.huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
Unamjua Mtungirehi ni wa wapi au unajisemea semea tu.
Sizitaki mbichi hizi.huu ndo wakati mzuri wa ccm kuiteka chadema nzimanzima.
tuma makada 150 wahamie chadema na watapewa nafasi ya kugombea ubunge na wakipita wanakuwa wamo kwa maslahi ya ccm.
inaitwa infiltration
huu ndo wakati mzuri wa ccm kuiteka chadema nzimanzima.
tuma makada 150 wahamie chadema na watapewa nafasi ya kugombea ubunge na wakipita wanakuwa wamo kwa maslahi ya ccm.
inaitwa infiltration
Umesahau Jiografia pia.Mutungirehi na MWIBARA wapi na wapi..
Ukitaka uwe great thinker uijue siasa na history.
JIMBO LILIKUWA LA MUTAMWEGA KIPINDI NIPO DARASA LA PILI PALE SHULE YA MSINGI BARAA
huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
Una uhakika na ulichoandika lakini...??kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
huu ndo wakati mzuri wa ccm kuiteka chadema nzimanzima.
tuma makada 150 wahamie chadema na watapewa nafasi ya kugombea ubunge na wakipita wanakuwa wamo kwa maslahi ya ccm.
inaitwa infiltration
Una uhakika na ulichoandika lakini...??
Esther Bulaya hakubaliki Bunda..?? na James Lembeli hakubaliki Kahama..??
Usitumie za kuambiwa tu, changanya na zako japo unazo kidogo.