KANG'ATWA USO NA BOSI WAKE{Picha inatisha}

KANG'ATWA USO NA BOSI WAKE{Picha inatisha}

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
hatari.JPGPita pita yangu kwenye mitandao nimekutana na hii kitu
K
ATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa Kijiji cha Nyabibuye Kakongo katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Susuluka (16) anadaiwa kujeruhiwa vibaya usoni na bosi wake, Imani Paulo (36) kwa kung’atwa ng’atwa usoni na kisha kunyofolewa macho, pua na meno kubaki nje, kama ambavyo anaonekana pichani.
BAPROMAS "BAPRO"
 
Namuonea huruma sana kijana huyu kwa maumivu anayoyapata.
 
This is murder ama huyo tajiri lazima ni kichaa!!! Akae mirembe all time!!
 
Hii ni kweli au uzushi jamani, binadam inawezekana kumung'ata binadamu mwenzio kiasi hiki?..kama ndivyo, beyond doubt, tunafikia ukingoni mwa maisha yetu hapa duniani
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hii ni kweli au uzushi jamani, binadam inawezekana kumung'ata binadamu mwenzio kiasi hiki?..kama ndivyo, beyond doubt, tunafikia ukingoni mwa maisha yetu hapa duniani

Ni kweli Habari hii kwa mara ya kwanza niliiona Star tv kwenye Talk show ya Dada mmoja hivi akiongea na huyo kijana hospitali na kabla ya hapo huyo bosi alimg'ata mbwa ulimi.
 
Ni kweli Habari hii kwa mara ya kwanza niliiona Star tv kwenye Talk show ya Dada mmoja hivi akiongea na huyo kijana hospitali na kabla ya hapo huyo bosi alimg'ata mbwa ulimi.
Duh.....yaani akili yangu inashindwa kabisa kujenga picha ya mambo haya mawili hasa katika extent inayooneshwa katika picha ya huyo kijana!

Inawezekana aling'atwa sehemu ndogo tu na kisha kupata maambukizi yaliyosababisha kidonda kusambaa uso mzima!?
 
Hii habari ipo hata kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti majira la jana...
 
Haya sasa ni matani jamani. Kwanza embu tufikiria kumng'ata huko ni kwa aina gani mpaka afikie hapo. Kwa majeraha aliyoyapata angekuwa ktk hali ya hatari sana. Uso ni kitu kingine ktk mwili wa mwanadamu. Mi binafsi siamini ila kama ni kweli bosi anastahili kunyongwa.
 
Huenda huyo bosi alikuwa na kichaa cha mbwa ndio maana sumu ikatambaa uso wote. Pole kijana Mungu akulinde upone haraka
 
Tatizo letu kubwa Tanzania hatuna huduma nzuri ya wagonjwa wa akili.Hosipitali iliyopo ni ya Mirembe tu na ilijengwa wakati idadi yetu labda ilikuwa watu millioni 10.Leo hii tupo takribani milioni 46(labda)lakini bado hosipitali ni ile ile japokuwa tumeongezeka sana.The so called boss ana tatizo la akili tena kubwa tu.Just because haokoti makopo haina maana kwamba sii kichaa!Serikali iongeze na kuboresha huduma hii...vichaa ni wengi mno!
 
Duh.....yaani akili yangu inashindwa kabisa kujenga picha ya mambo haya mawili hasa katika extent inayooneshwa na katika picha ya huyo kijana!

Inawezekana aling'atwa sehemu ndogo tu na kisha kupata maambukizi yaliyosababisha kidonda kusambaa uso mzima!?

Hapo umenena, labda hivyo lakini picha ya kumng'ata na kuujeruhi kwa mara moja uso kufikia hapo ni ngumu kuamini.
 
MUNGU WANGU NAKUOMBA UMPONYE KIJANA HUYU MAANA ANAMAUMIVU MAKALI SANA
NA hUYO bOSI AMESHAFIKISHWA KTK VYOMBO VYA SHERIA????
 
Hivi kweli hata kama ni bosi wako, haiwezekani aanze kung'ata shavu aje pua, macho unamuangalia tu. Tena kwa umri wake huyo kijana na maumivu asingeshindwa hata kuokota jiwe au jiti na kumuangushia kichwani huyo bosi wake. Nini kazi bhana, cha kwanza afya kazi utapata sehemu nyingine yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom