Kangaroo ana uke mitatu

Kangaroo ana uke mitatu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
Akimpenda dume fulani anampa chenyewe,akisumbuliwa na hajampenda dume anampa famba ajisukutue wee😃
1754468267841.jpg
 
Waingereza hawana tafsida? Wanaandika kabisa vagina. Sisi huku uswahilini hicho kiungo haikiitwi kwa jina lake halisi ni matusi ya nguoni. Sisi huku tunaita uke kwa lugha fasaha na mbunye, mbususu, nyabe, mkunyati kwa lugha ya kijiweni. Sasa hizo qumer tatu za kangaroo ipi tamu na inayotoa mtoto? Au zote tamu na zinatoa watoto? Kwa hiyo wakati wa kunyanduana dume linatupia mkeyenge popote tu bila kulenga tundu kusudiwa?
 
Anatupia chombo,mama ana switch button 😃,akuzugishe au azae naye!,
Nadhani wana control nzuri sana ya uzazi wa mpango,naturally,maamuzi ni ya mama abebe au asibebe,bila kumfanyia baba ukauzu 😃au roho mbaya!
 
Akimpenda dume fulani anampa chenyewe,akisumbuliwa na hajampenda dume anampa famba ajisukutue wee😃View attachment 3433433

Ni kweli kwamba kangaruu jike ana njia tatu za uke.

1.Njia mbili za uke zilizoko pembeni hutumika kupitisha mbegu za kiume kutoka kwa dume hadi kwenye mji wa mimba. Kila njia huungana na tumbo la uzazi, hivyo kangaruu jike ana matumbo mawili ya uzazi.
2. Njia ya tatu ya uke, ambayo iko katikati, hutumika wakati wa kujifungua. Ndiyo njia anayopita mtoto (anayeitwa joey) anapozaliwa.

Kwa kuwa na mfumo huu, kangaruu ana uwezo wa kuwa na:
  • Mtoto mmoja mchanga ndani ya mfuko wake (pouch),
  • Mtoto mwingine anayenyonya lakini bado hajajitegemea,
  • Na mimba nyingine ambayo haijaanza kukua mpaka nafasi ipatikane (hali hii huitwa embryonic diapause).
Kangaruu jike hana uwezo wa kuchagua moja kwa moja ni uke upi dume atautumia. Uhalisia ni kwamba, huu ni mfumo wa asili wa mwili wake, na mara dume anapomwingilia, mbegu hujielekeza moja kwa moja kupitia uke wa pembeni, ambao umeundwa kwa ajili ya kusafirisha mbegu hadi kwenye mji wa mimba.
 
Back
Top Bottom