Lukuvi?...mwanamtandao, kwa ufupi ni kijana wa JK. Anachokifanya sasa ni nguvu nyingi kwenye kampeni za mwakani, sio kuongoza jiji..na JK kamleta ili amsaidie ku-push mambo yake kama sio kughushi kabisa ili mwakani aendelee kuvaa kaunda suti zake na vitenge/batik....mfano halisi ni kitendo cha yeye two/three weeks ago kwa vijana wa Maktaba kuomba apunguziwe/kufutiwa kodi ya COASTER ambayo alipoinunua huko nje ali-i-modify kuwa na hema/jukwaa lakampeni za uchaguzi mwakani...ndio vijana wa bro JK wanavyokula nchi.
Tangu lini jogoo wa shamba akawika mjini?