Kandahar; Afghanstan: Zaidi ya watu 32 wamekufa katika msikiti wa Bibi Fatima baada ya watu 3 kujilipua mabomu msikitini hapo

Haya wazichape wenyewe kwa wenyewe dini moja, maana kila tukiwaambia wanafundishana ugaidi kwenye dini wanatubishia humu kwa povu, ipo siku watatia akili.
 
Hakuna ukinzani waarab ni wapumbavu tuu hakuna Cha dini Wala nn nenda Iran,saudia uone anachokifanya Yemen kiujumla jamaa ni washamba

Nigeria Boko haram sio waarabu, alshabaab, magenge ya Msumbiji, Kibiti wote hao sio waarab ila dini moja.
 
Back
Top Bottom