Mada ya kipuuzi kbs hii. Hatuchagui rais kwa misingi ya ukabila, ukanda, udini wala rangi yake. Tunachagua mtanzania yeyote mzalendo,asiye na ubaguzi na mpenda haki na usawa.
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu

Rais wa nchi sio mtemi wa wasukuma, kajipange upya.
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu
Kambarage alitoka wapi kama sio kanda ya ziwa?
Nishasema hili mara kadhaa, nakubaliana na maoni yako lakini upande wangu sijaona mtu wa kumpa urais toka kanda hii. Namuunga mkono Lowassa lakini wabunge tungewapa wapinzani maana haya mabunge toka chama changu karibia yote isipokuwa Kagi Lugola na James Lembeli mengine yapoyapo tu kama m a t a k o.Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu
Acha uongo kamanda,kama ni upendo kabila zote Tz zinaiga huku kanda ya ziwa hata dada zenu wanapokumbana na akina ngonsha,wanajiachi aaaaa mpaka tunasema basi natosha lolo mayo.Kanda ya ziwa bado sana kwanza watu wa kanda ya ziwa hampendani wala kuaminiana.
Kama alitokea huko ziwani sasa ni zamu ya watu wa mikoa mingine nao waonje uraisNi kweli alitokea kanda ya ziwa ila hakuwa na upendeleo kwa mikoa kadhaa bali alitaka nchi nzima inufaike na rasilimali za taifa,ona viongozi wa leo aibu tupu
Mada ya kipuuzi kbs hii. Hatuchagui rais kwa misingi ya ukabila, ukanda, udini wala rangi yake. Tunachagua mtanzania yeyote mzalendo,asiye na ubaguzi na mpenda haki na usawa.
Shibuda anawafaa.
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu
Na sisi Kigoma lazima tutoe rais mwaka 2015 na pia Arusha wanatakiwa watoe rais mwaka 2015 kwa kuwa wamekuwa wakitoa mawaziri wakuu tu.Pia nadhani ni zamu ya ZanzibarTumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu