Ufafanuzi zaidi tafadhaliMwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu
Rais wa nchi sio mtemi wa wasukuma, kajipange upya.
Seconded, lakini pia Lusinde (ulinzi), Nkamia (foreign affairs), le Mutus (bandari na uchukuzi)waziri mkuu awe Kinana..
Kapuyer makamu wa Rais...
CCM oyeeee...
Seconded, lakini pia Lusinde (ulinzi), Nkamia (foreign affairs), le Mutus (bandari na uchukuzi)
Hahahahhaah!! hilo bungu inabidi watu wajiandae kupigana mjengonimwingulu spika wa bunge 😉
Hiv kuna nchi inayoitwa kanda ya ziwa au ni akili yako ndogo na uvivu wako wakufikiria!!!'think big'Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu