Kanali Mashauri ongeza umakini

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,444
Reaction score
10,272
Mpambe wa Rais, Kanali Mashauri pichani akiwa amevaa cheo cha kijeshi kinyume na utaratibu. Najua kuna muda sisi binadamu tunajisahau, pengine kwa wingi wa majukumu lakini umakini unahitajika zaidi.

Ni hayo tuu, poti wangu naamini utakuwa umenisoma, nakutakia uchapaji mzuri wa kazi. Wana Mara tunakuaminiaaa

 
Ukosoaji wako ni wa Kiungwana sana. Kuna watu humu tunatakiwa kujifunza Approach za kiungwana hivi na zenye kujali utu. Safi sana
 
Sasa tueleze kakosea minie maana Mimi sijaelewa Poti ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…