Ile shule bado ipoKwani ile shule yake inaendeleaje kule bagamoyo Mkuu?
Kama inaendelea kwanini kusitoke vipaji hapo kama alivyokua anafanya Makongo, umeshajaribu kujiuliza swali hili?Ile shule bado ippo
Maono na Vipaumbele ktk Uongozi yanatofautiana Mkuuu tulikuwa na Zama za Kilimo Kwanza leo tupo Uchumi wa Viwanda. Ndio maaana nikasema kwa hali ya soma letu maono ya Kipingu bado yanahitajika sanakama inaendelea kwanini kusitoke vipaji hapo kama alivyokua anafanya Makongo umeshajaribu kujiuliza swali hili?
Kwanini?Ukipita kwenye ile Shule yake kule Mapinga waweza kudondoka kwa mshangao
Imekua malisho ya mifugo. Watoto wake walishindwa kuendesha shule? Mbona Baobab anaendeleaje fresh tuKwanini?
Kwani kipingu kafa?Imekua malisho ya mifugo. Watoto wa marehemu walishindwa kuendesha shule? Mbona Baobab anaendeleaje fresh tu
Shule imefungwaKwani kipingu kafa?
Mzee Kipingu yupo hai. Ile shule ilipigwa mnada.Upo dunia gani wewe?
Upo dunia gani wewe?
Mzee Kipingu yupo hai. Ile shule ilipigwa mnada.
Around 40MMarejesho yalikua changamoto nini mkuu?
Kwahiyo Mzeee Kapokonywa auAround 40M
Hiyo pesa kwa kanali mstaafu mbona pesa ndogo sana, labda kuna kingineAround 40M
Kipingu yupo hai kweli?Mzee wetu Kanali Idd Kipingu inafikia wakati tunakumbuka jinsi Makongo Sekondari ya enzi zako ilivyokuwa incubator ya Mastaa wa VPL. Wachezaji kama Juma Kaseja, Henry Joseph, Mussa Mgosi, Jerry Tegete, Boniphace Pawasa nk ni miongoni mwa matunda mazuri ya Shule ya Sekondari ya Makongo. Lakini miaka inaenda na siku zinazidi kusonga hatuoni tena Makongo ikiwa tishio katika kuzalisha wachezaji wa viwango na hapo ndiyo nafikia hitimisho la kusema: Mzee wetu bado soka linakuhitaji, hali ya wachezaji wetu ni mbaya, wanaolea vituo vya soka wamepoteza mwelekeo.
Nimetaja kwa uchache, wadau ongezeeni wachezaji waliopitia Makongo enzi za Kipingu.