Kanada: Jaji aliyemuuliza aliyebakwa ''kwanini hakufunga miguu'' ajiuzulu

mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
12,184
22,700
justice-robin-camp.jpg
Jaji mmoja kutoka Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu.J

Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu kupendekeza kuwa afutwe kazi.

Bwana Camp alisema kuwa alisikitishwa na matamshi yake lakini jopo la nidhamu lilisema liliona matamshi yake yalikosa hali ya kutopendelea na heshima.

Waziri wa haki katika jimbo hilo amekubalia kujiuzulu kwake.

Matamshi ya bwana Camp yaliotolewa wakati wa keshi ya ubakaji mwaka 2014 yalizua hisia kali na kusababisha ukosoaji mkali kutoka kwa waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono pamoja na mawakili wao.

Jaji huyo alichukua msimamo na kuliambia baraza hilo kwamba alifahamishwa kuhusu makosa yake na kwamba aliomba msamaha juu ya matamshi yake.

Baraza hilo ambalo husimamia idara ya haki lilibaini kwamba vitendo vya bwana Camp wakati wa keshi hiyo vilikuwa na uharibifu wa wazi kuhusu sera ya kutoa haki katika idara hiyo na kwamba hawezi kuendesha tena afisi hiyo.

Pia ilibainika kwamba jaji huyo alizungumza na mlalamishi kwa lugha isioheshimika inayofedhehesha na kuonyesha ubabe.

Chanzo: BBC Swahili | Jaji amuuliza aliyebakwa ''kwanini hakufunga miguu''Canada
 
wakati wa kubakwa mapaja huwa yanafunguka yenyewe autamoticaly!
Haaaaaahh haaaaahh.! Facts over the issue...amaizing yaani ume analyse as if naona the scenario.! Ofcause ukiangalia cases nyingi za Rape utaona siku zote mwanamke anapotaka kufanyiwa hili kosa huwa ana loose alot of strength kupinga tendo ila nguvu zikiisha mwilin seems like na hormone za tendo huongezeka na huwa/humfanya awe loose, soo tendo hufanyika kwa hali ya kutoridhia na hofu.
Note;
Rape its defined just as rape moreover alishindwa kumzuia accused or wat as long as haikuwa VOLUNTARILY and Racio Decidendi of penetration has been proven... etc
 
Jaji mmoja kutoka Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu.J

Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu kupendekeza kuwa afutwe kazi.

Bwana Camp alisema kuwa alisikitishwa na matamshi yake lakini jopo la nidhamu lilisema liliona matamshi yake yalikosa hali ya kutopendelea na heshima.

Waziri wa haki katika jimbo hilo amekubalia kujiuzulu kwake.

Matamshi ya bwana Camp yaliotolewa wakati wa keshi ya ubakaji mwaka 2014 yalizua hisia kali na kusababisha ukosoaji mkali kutoka kwa waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono pamoja na mawakili wao.Jaji huyo alichukua msimamo na kuliambia baraza hilo kwamba alifahamishwa kuhusu makosa yake na kwamba aliomba msamaha juu ya matamshi yake.

_95064199_camp_976.jpg
Haki miliki ya pichaFEDERAL COURT OF CANADA
Image captionJaji Camp
Baraza hilo ambalo husimamia idara ya haki lilibaini kwamba vitendo vya bwana Camp wakati wa keshi hiyo vilikuwa na uharibifu wa wazi kuhusu sera ya kutoa haki katika idara hiyo na kwamba hawezi kuendesha tena afisi hiyo.

Pia ilibainika kwamba jaji huyo alizungumza na mlalamishi kwa lugha isioheshimika inayofedhehesha na kuonyesha ubabe.
 
Aise hapa tanzania kungekuwa na majaji kama hao watano wangenishawishi nifanye tukio
 
Back
Top Bottom