Natumai mmeamka salama wakuu,
Vidume wenzangu tabia ya kujigamba mbele za watu eti mkeo ni mwaminifu hawezi chepuka, imemtokea puan rafiki yangu.
Kila siku alikua anavimba kijiweni eti mkewe mwaminifu sana na atakayeweza kumtongoza na kumla mkewe atampa zawadi.
Wahuni siyo watu wazuri, walimtongoza na akajaa nyumba ya wageni then wakampigia sim alichokiona hakuamini, alidondoka chini na kuzima.
Leo siku ya 3 yupo hospitali, hana nyimbo mpya isipokua kulia lia na kudai hamtaki tena mkewe wala hatokuja kuoa.