Kamwe Usikate Tamaa

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,818
Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko.

Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake.

Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata

Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko.

Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake.

Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata

Nilishaapa sifi kiboya
 
Hapo ng'ombe alikuwa anafanya mazoezi tu hakuwa serious, kambuzi kamekomaa kweli ki-diehard![emoji1]

Ni kama Everton Vs Gor Mahia first half
 
Asante mkuu kwa kutukumbusha ila nahurumia mb zangu hiyo video ya mbuzi inasemaje eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…