Kamwe sitakuja kutoa mahari!

Heshima gani kwa mtu ambaye siyo bikra,hizo case za kubakwa ukiwa na bikra sijui kufiwa na mchumba sijui Mme ni very rare ...usipokua na bikra(used) means hujajitunza sasa heshima ya nin kiasi upewe mahar
 
Tengeneza ka wife material mwenyewe kuna vitoto vingine vinaenda chuo bado vi bikira ww tafuta amini utakipata kitoboe kikimaliza chuo toa mahari weka ndani ndo tunavofanya bila bikira sioi
 
Mahari ya nn? Na bikra ni nn?
 
Kuna mwanaume ana hymen,ha ha haaa# povu
I meant Kwanini tu utake bikira wakati wewe ni Mzinifu.
Ipo hivi Mzinifu huoa mzinifu
Chapombe kwa chapombe.
Mshirikina kwa Mshirikina.
Sasa kama ulitulizana utapata aliyetulizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…