Kamwe sintasahau Ijumaa 13th April 2001.

Nakumbuka kama sio mwaka Jana Basi mwaka juzi uliwahi kucomment kidogo hii story kwenye Uzi flani nimeusahau ila leo ndio umesimulia kirefu!
Ulinifanya nikatafuta huo wimbo wa Roxette....

Pole sana mkuu
 
Maisha ndivyo yalivyo hommie.

Muda mwingine unakuta haikupangwa.
 
Ilinitokea Ruvu Jkt, Op Miaka 50 ya uhuru,maria ulipo nakutafta, mkurya .Tulikuwa Kombania B, ,one thing at a time,
 
Una kipaji cha uandishi kaka, kama utajiendeleza unaweza kumfikia au hata kumzidi Shigongo. Flow nzuri ya matukio,kama ingekua ni kitabu ningekimaliza bila kuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…