Kampuni za ukodishaji Helicopter

Kampuni za ukodishaji Helicopter

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,237
Reaction score
8,530
Wakuu habari za leo

Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm
 
Check na Everret Aviation wapo New Holiday In pale posta DSM.
 
Wakuu habari za leo

Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm
Niliona Kenya wamezindua Uber ya helicopter..jaribu kurequest huko.Huku kwetu mhh sijui
 
Ukiwa Dar tazama zinakokwenda kutua
 
Mkuu unataka kwenda Zimbabwe nn ukalainishe vyuma maana Kyle grease bei rahis
 
Naipenda jf maana nacheka Sana sio kwa majibu haya
Mkuu fanya ku-google tu
 
Back
Top Bottom