mdafanga JF-Expert Member Apr 15, 2015 618 197 Dec 30, 2015 #2 Safi sana mavunde wabongo wanateseka sana na unyanyasaji wa hao wa viettnam
TZ kwanza JF-Expert Member Feb 25, 2013 250 87 Dec 30, 2015 #3 Inapendeza sana,mungu awape nguvu na afya njema,muendelee kutumbua haya majipu
J33 JF-Expert Member Jun 11, 2014 1,552 1,512 Dec 30, 2015 #4 Watanzania walio wengi tupo nyuma ya kazi nzuri inayofanywa na viongozi kwa sasa na wakiendelea hivi nchi itakuwa mbali sana ndani ya miaka 5. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Watanzania walio wengi tupo nyuma ya kazi nzuri inayofanywa na viongozi kwa sasa na wakiendelea hivi nchi itakuwa mbali sana ndani ya miaka 5. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Possibles JF-Expert Member Sep 22, 2011 1,919 2,410 Dec 30, 2015 #5 Nimeipenda hii tumbua tumbua. Yaani afisa ubalozi anataka kumfundisha Waziri namna ya kufatilia haki za wananchi wake!!!! Hovyo kabisa
Nimeipenda hii tumbua tumbua. Yaani afisa ubalozi anataka kumfundisha Waziri namna ya kufatilia haki za wananchi wake!!!! Hovyo kabisa
grand casual JF-Expert Member Aug 27, 2014 255 155 Dec 30, 2015 #6 Bado kuna hawa wahindi wachina na wapakistan wamejazana huku mitaani fagio lipite tu! #wataisoma mamba!
Bado kuna hawa wahindi wachina na wapakistan wamejazana huku mitaani fagio lipite tu! #wataisoma mamba!