Uko sahihi mkuu sijui kama wahusika watakuwa wasikivu.Watu wasiporidhishwa na huduma za kampuni moja ya simu wanshindwa kuhamia kampuni nyingine kutokana na gharama za kuhama, "switching costs".
Gharama za kuhama si shs 1000 ya line bali ni gharama ya kutafutwa na kutopatikana ndio inayofanya watu waendelee kuabudia kampuni zao hata kama kuna kero au unafuu sehem nyingine.
Hii pia inafanya kampuni mpya kutaabika kuingia sokoni kwa sababu watu hawawezi kupoteza namba kisa kuhamia kampuni nyingine.
Pendekezo; TCRA ingeondoa ukiritimba wa kwamba 075/071/078....... kuwa ni wa kampuni.
Ni vyema tukaiga nchi nyingine ambapo unaweza kuhama kampuni ya simu moja kwenda nyingine kwa namba yako. Hii itaongeza ushindani na kuondoa ubabaishaji.
Suala la kutambua hii ni voda au tigo ili mtu apate huduma za bei rahisi zitabaki kwenye watumiaji au makampuni kutengeneza query service itakayoonyesha hii ni namba ya kampuni gani.
Hii ni kweli... hakuta kuwa na maana kiwa na line mbili..Hiyo issue mbona ishahadiliwa humu kitambo? Inaitwa Number Management Portability(NMP) ipo mbioni kuanza wewe ndio utakuwa na umiliki wa Hiyo line ,line yako ya tigo unaweza ukaipeleka halotel kwa ridhaa yako mwenyewe....Nimeongea na mshikaji wa TCRA amesema itaanza mwezi wa pili kwa kampuni nne kwanza Airtel,Voda,smile na tigo kampuni nyingine ndio zinaendelea na installation.
Hakika wewe ni muona mbali, hayo ni maoni yalioenda shuleWatu wasiporidhishwa na huduma za kampuni moja ya simu wanshindwa kuhamia kampuni nyingine kutokana na gharama za kuhama, "switching costs".
Gharama za kuhama si shs 1000 ya line bali ni gharama ya kutafutwa na kutopatikana ndio inayofanya watu waendelee kuabudia kampuni zao hata kama kuna kero au unafuu sehem nyingine.
Hii pia inafanya kampuni mpya kutaabika kuingia sokoni kwa sababu watu hawawezi kupoteza namba kisa kuhamia kampuni nyingine.
Pendekezo; TCRA ingeondoa ukiritimba wa kwamba 075/071/078....... kuwa ni wa kampuni.
Ni vyema tukaiga nchi nyingine ambapo unaweza kuhama kampuni ya simu moja kwenda nyingine kwa namba yako. Hii itaongeza ushindani na kuondoa ubabaishaji.
Suala la kutambua hii ni voda au tigo ili mtu apate huduma za bei rahisi zitabaki kwenye watumiaji au makampuni kutengeneza query service itakayoonyesha hii ni namba ya kampuni gani.
Hiyo issue mbona ishahadiliwa humu kitambo? Inaitwa Number Management Portability(NMP) ipo mbioni kuanza wewe ndio utakuwa na umiliki wa Hiyo line ,line yako ya tigo unaweza ukaipeleka halotel kwa ridhaa yako mwenyewe....Nimeongea na mshikaji wa TCRA amesema itaanza mwezi wa pili kwa kampuni nne kwanza Airtel,Voda,smile na tigo kampuni nyingine ndio zinaendelea na installation.
SMILE inaanza na 066X XXX XXX mbona mtandao wa kitambo una hadi 4G LTE.Mtandao gani huu? ndio naanza kuusikia leo