Kampuni za mabati za kuziogopa

Bei za Alaf ni pasua kichwa, mimi nilikwenda Dragon nikanunua Geji 30 IT5 bila Chenga kwa bei ya Tshs. 12,000/= kwa sqm. Rangi ni Brick Red, nimeezeka Januari 2025, mpaka sasa bado lipo vilevile, ninaamini litaendelea kuwaka hivyohivyo.
ije mvua ije jua mwakaz hamna bati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…