Kampuni za Alpha hazilipi kodi!


We una ushahidi na hayo uyasemayo? kweli JF imekuwa kijiwe cha gahawa! Unapokuja na alegetions kubwa kama hizo weka ushahidi tosha (japo wa mazingira:eg, ni makampuni gani wanamiliki, yameandikishwa kwa majina gani na connection kati ya wanaoshikilia kampuni na wahusika halisi nk). Halafu jambo la kuhusisha maraisi wa nchi za watu pasipo ushahidi unaingilia mambo ya kidiplomasia bila kuwa na uhakika na ulisemalo!!!
 
Kweli hawalipi kodi maana hata hiyo secondary ambayo ni lowasa nyuma ya pazia iko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…