T tunasongaMbele Member Joined Apr 1, 2021 Posts 57 Reaction score 51 Oct 17, 2021 #1 Habari wakuu,, Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo dar aje pm tuwasiliane N.b it is urgently case. #asante
Habari wakuu,, Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo dar aje pm tuwasiliane N.b it is urgently case. #asante