Kampuni yachomeka hapa?!

hakuna haja ya kuangaika na hayo amtafute yesu mnazareth atafanikiwa.
 
Hakuna zaidi,
hapo ni baridi
ndio imemzidi
kiasi hadi
amegundua mbinu stadi
ya kupambana na baridi
 
Duh,jamaa kapack gari chini ya mti akaamua kufanya mambo ya kina maji marefu!!
 
Kwa taarifa yenu msitu wa pende pia hutumika kwa matambiko hasa wahindi huenda kule kila weekend kufanya matambiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…