Kun Jr
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 700
- 361
inawezekana kuongeza kama ina port moja nunua ya 4GB kama ina port mbili ongeza ramMkuu nina mashine yangu ina RAM 2GB, sasa izi RAM vipi? naweza nikanunua 2GB nikaongezea ikafika 4GB au labda kuna RAM 4GB mpaka nifanye substitution bandika bandua?