Kampuni ya usafirishaji

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Habari zenu.?

Naomba kujua na kupata mawasiliano kwa kampuni yeyote inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo toka nchini Russia.
Ninahitaji kusafirisha mahema kama 5-10,pia na sleeping bags kadhaa.
Mji vinayotoka vitu hivyo ni Stavropol/Urusi na vinatakiwa vije Arusha au Tanga.
Kwa yeyote anayejua kampuni inayofanya kazi hizo halikadhalika yenye gharama nafuu anijulishe kwa kuni PM.

Asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…