Kampuni ya uchimbaji za uchimbaji madini ya Winshear kuidai Tanzania tsh Bil 229.3/ . Na indianapolis kuidau Tanzania bil 246.9/

road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
2,064
3,011
Kumekucha sasa !!! Wanaojua sheria wanaanza kutuadhibu vilivyo!!!
Wanatudai pesa hizo na wameshafungua mashauri katika mahakama za kimataifa.
Mashitaka hayo ni kutokana na serikali ya Tanzania kuvunja mikataba july 2017 !!!
Kuna kila dalili za makampuni aina hii kufungua mashauri katika mahakama hizo!
Rai yangu kwa serikali ya Tanzania ni kujipaga kwa kutafuta wanasheria nguli bila kujali rangi ya chama ili kuokoa mabilioni haya ambayo huenda yakavunwa na makampuni haya ili yasaidie kutatua matatizo mbalimbali hapa nchi!
 
Doto Biteko ndio kazi aliyo ifanya Bado SSH anamngangania awe waziri wa madini
 
Back
Top Bottom