Kampuni ya simu Israel kuja na betri ya simu inayo jaa ndani ya dakika tano

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,171
1,580
_96026978_charger1.jpeg
Kampuni moja nchini Israel yasema itakuja mda si mrefu na betri ya simu ijaayo ndani ya dakika tano tuu.
 
Mbona mpaka sasa zipo battery hizo? Labda umechanganya unamanisha zinazoisha chaji baada ya week tano ndo itakuwa improvement. Vimeo vya battery kama hivyo vinejaa kitaa
 
Back
Top Bottom