F fundimchundo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2010 Posts 747 Reaction score 1,044 Oct 6, 2011 #1 Wafanyakazi wa kampuni ya simu wamehamisha salio kutoka kwenye simu yangu kwenda kwa watu nisiowajua bila mimi kujua wala bila kutumia simu yangu ya kiganjani. Haki yangu kisheria ni ipi?
Wafanyakazi wa kampuni ya simu wamehamisha salio kutoka kwenye simu yangu kwenda kwa watu nisiowajua bila mimi kujua wala bila kutumia simu yangu ya kiganjani. Haki yangu kisheria ni ipi?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,684 Oct 9, 2011 #2 Inabidi uwaulize kwanza.