Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,047
- 144,450
tutembee kifua mbereeeeeeeMwaka huu tunaagiza ndege nyingine kwani tuko vizuri kiuchumi,n.k.
toa neno bure mkuuUkweli printing media zote zinapita katika hali ngumu sana duniani sio Tanzania pekee. Humu member wangapi wananunua magazeti kila siku? Vijana hawapendi story ndefu...Habari zote mtu anazipata haraka na bure.
Kwani kwa wifi siyo bure mkuu?toa neno bure mkuu
Inapronaunsika hivyo huku kijijini mkuu.Kwa WiFi siyo kwa wifi.
Acha ubishi wa kitoto mkuu, Umeambiwa toa neno bure litoe...Inapronaunsika hivyo huku kijijini mkuu.
Mkuu niwie radhi, sijabishi chochote kuhusu matumizi ya Wi-Fi, hapa nilishadadia matamshi ya hilo neno, jinsi linavyotamkwa na watu huku kijijini.Acha ubishi wa kitoto mkuu, Umeambiwa toa neno bure litoe...
NB: Hiyo Wi-Fi kama ni bure mtoa huduma unampa nini mpaka akupe wi-fi ya bure?