Kampuni ya mambo ya engineering inauzwa!

1. Wafanyakazi
Jumla walikuwa 15 ila tulishauri wapunguzwe kwa sasa wapo 6 kutokana na kuwa na nia ya kuuzwa kwa kampuni

2. CEO
Hapana labda ukitaka kumuajiri kwa mkataba maalum kwn wote wanaondoka (wamiliki) . Ila wapo professional engineers ambao ni staffs

3. Ofisi
Wamepanga sio mali ya kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…