Ntahakikisha zinafika maana nikifika home lazima niwaandikie kwenye website yao. Nilitaka kwenda kituoni hapa moshi nikaona ntajichelewesha ila si mbaya hata arusha naweza enda kuwasemeleaHizi taarifa zilipaswa zimfikie boss wao,
Mtu unaajiri watu ukitarajia wakuboreshee biashara kumbe wanakuharibia, half ukifukuzwa unaanza kulalama.
Basi ni uhuni ambao hata management inajua....bora wangetufaulisha kwenye basi la maana na lenye nafasi kuliko kutusimamisha kwenye mngalangala tena limefungwa tv ya chogoHakukuwa na polisi hapo stand?
Ukiona hivyo kesho watalipeleka hilo bus toka Moshi - Dodoma.
Abiria mlifanya makosa, mlitakiwa kuwapigia simu Polisi au Sumatra ili wasimamizi wa hilo basi wapewe haki yao.Ntahakikisha zinafika maana nikifika home lazima niwaandikie kwenye website yao. Nilitaka kwenda kituoni hapa moshi nikaona ntajichelewesha ila si mbaya hata arusha naweza enda kuwasemelea
Ni wahuni sana, mabasi mabaya, hawana customer care, usafiri wa uhakika ni Abood BusHii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
ππππlimefungwa tv ya chogo
Kweli kabisaa,wote wangeamua moja na kukomaa wangefika mbona huko Arusha,wasingekubali kushuka huku wengine wakiwasiliana na kituo cha polisi hapo walipo,haya mambo ya kihuni sio wakati wake huu sasa kwa karne hii asee,.Msingeshuka mkuu. Sema abiria wa kibongo asilimia kubwa hatunaga ushirikiano.