Maji Chai JF-Expert Member Joined Dec 8, 2018 Posts 266 Reaction score 367 Mar 16, 2021 #1 Habari wana Jf,nlikuwa naomba ushauri katika hii sekta ya utalii wa ndani,kama nkifanikiwa kufungua kampuni ya ku organize utalii wa ndani ntapata faida?Naweza kuwa nimefikisha wazo langu mnisamehe. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Habari wana Jf,nlikuwa naomba ushauri katika hii sekta ya utalii wa ndani,kama nkifanikiwa kufungua kampuni ya ku organize utalii wa ndani ntapata faida?Naweza kuwa nimefikisha wazo langu mnisamehe. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Dotto Kajole Fimbo Member Joined Nov 16, 2016 Posts 30 Reaction score 52 Mar 16, 2021 #2 nakwambia kupata faida ni mpaka u break even, kinyume na hapo ni mwendo wa kuunguza mtaji tu.