nalo neno Member Joined Aug 6, 2014 Posts 89 Reaction score 41 Sep 29, 2014 #1 Natafuta kampuni ya kichina ya kuchimba kisima maeneo ya kigamboni kwa kuwa nimesikia wao bei zao ni nafuu kuliko wachimbaji wengine. Hivyo naomba kwa mwenye mawasiliano nao anipatie hapa. Asante
Natafuta kampuni ya kichina ya kuchimba kisima maeneo ya kigamboni kwa kuwa nimesikia wao bei zao ni nafuu kuliko wachimbaji wengine. Hivyo naomba kwa mwenye mawasiliano nao anipatie hapa. Asante