Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Windows Phone walikuja wakaendaHuo mfumo wa Linux una kipi cha kukimbiliwa?
Swali zuri sana hususan kwa waleta mada content kibao bila kujibu issue za maana; more clicky baity than info manual😄 bila kutafakari kwani android si linux
Android inatumia Mfumo wa Linux ndiyo lakini katika low level task kama vile hardware drive, storage management nk😄 bila kutafakari kwani android si linux
(modified )😄 bila kutafakari kwani android si linux
Swali zuri sana hususan kwa waleta mada content kibao bila kujibu issue za maana; more clicky baity than info manual
Mara nyingi vifaa vya Android vinatumia Mfumo wa Linux kwq sababu kadhaaHuo mfumo wa Linux una kipi cha kukimbiliwa?
Windows Phone walikuja wakaenda
Asante hapo umenipa mwang kidogo nitafuatilia zaidi kusoma nieleweMara nyingi vifaa vya Android vinatumia Mfumo wa Linux kwq sababu kadhaa
Open Source, security, hardware support and stability, resources management inayopelekea kutoa msingi wa kuaminika wa kuweza kutumika.
Kutokana na Bei yake nafuu, unaweza kubadilika kulingana na wakati nk ulipelekea Google kujenga Mfumo uendeshaji wa kisasa kwq urahisi zaidi hata kampuni nyingine kama vile Qualcomm, snapdragon, MediaTek kuweza kuingiliana nao.
Sijui nimekuelewesha kidogo 😃 ila Google utapata taarifa zaidi kuhusu Linux au pitia kitabu kinaitwa professional android, HeadFirst android Development , how Linux work on Android utajifunza mengi mkuu.
Teknolojia ni Yetu sote ✍️Asante hapo umenipa mwang kidogo nitafuatilia zaidi kusoma nielewe
Kwanza huu mfumo sio mpya ulianza na Maemo na Nokia toka 2004 huko, baadae ukaungana na Mobile linux ukaitwa meego baadae Meego ikafa ndio ukaendelezwa kama Sailfish, Samsung akautumia kwenye TV zake kama Tizen etc.Huo mfumo wa Linux una kipi cha kukimbiliwa?
Asante kwa maelezo yaliyojaa, ngoja nipitie hio video nioneKwanza huu mfumo sio mpya ulianza na Maemo na Nokia toka 2004 huko, baadae ukaungana na Mobile linux ukaitwa meego baadae Meego ikafa ndio ukaendelezwa kama Sailfish, Samsung akautumia kwenye TV zake kama Tizen etc.
Ni open source software ambayo hata wewe ukiwa una UI yako unaweza ukautumia kutengeneza OS yako.
Selling factor kubwa ya sailfish ni multitasking, unlike Android na Ios hii ina True multitasking kama unavyoona pc na Windows
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ya-UyvSMsUE&pp=0gcJCR4Bo7VqN5tD
Angalia hio video mtu aki multitask mpaka video haistop kuplay uki minimise.
Pia sababu ni linux na open source ina privacy kubwa.
Madeveloper na wataalam wengine huzitumia kama portable devices ku access Linux on the go.