M Mjomba kazola Member Joined Mar 25, 2017 Posts 33 Reaction score 14 Jul 2, 2018 #1 habari zenu wadau Naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu ilipo kampuni ya Daima InfoTech solution Naomba anielekeze ili niweze kufika nina shida nahitaji kuulizia pale. Nasikia ipo barabara ya bagamoyo road ila sijajua ni sehemu gani? Asanteni.
habari zenu wadau Naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu ilipo kampuni ya Daima InfoTech solution Naomba anielekeze ili niweze kufika nina shida nahitaji kuulizia pale. Nasikia ipo barabara ya bagamoyo road ila sijajua ni sehemu gani? Asanteni.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 3, 2018 #2 Mkuu hawana website hao??? Kama ipo cheki watakua wameonesha walipo
M Mjomba kazola Member Joined Mar 25, 2017 Posts 33 Reaction score 14 Jul 3, 2018 Thread starter #3 Madame S said: Mkuu hawana website hao??? Kama ipo cheki watakua wameonesha walipo Click to expand... Madame S said: Mkuu hawana website hao??? Kama ipo cheki watakua wameonesha walipo Click to expand... kwenye site yao hawajaonesha direction na hata namba za simu hamna. hata me mwenyewe nimeshangaa.
Madame S said: Mkuu hawana website hao??? Kama ipo cheki watakua wameonesha walipo Click to expand... Madame S said: Mkuu hawana website hao??? Kama ipo cheki watakua wameonesha walipo Click to expand... kwenye site yao hawajaonesha direction na hata namba za simu hamna. hata me mwenyewe nimeshangaa.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 3, 2018 #4 Mjomba kazola said: kwenye site yao hawajaonesha direction na hata namba za simu hamna. hata me mwenyewe nimeshangaa. Click to expand... Mhhh hapo mtihani
Mjomba kazola said: kwenye site yao hawajaonesha direction na hata namba za simu hamna. hata me mwenyewe nimeshangaa. Click to expand... Mhhh hapo mtihani