Kampuni ya clearing ya kununua

Mbona bajeti ya kampuni za kuuza nyanya hiyo, sio kwa clearing mzee
 
Upo serious au hujui kampuni za Clearing ni nini.... Hiyo bei hata barua ya TRA hupati... Ongeza 20 hapo iwe 35m... Angalau kidooooooooooogo
Mwenyew nimeshangaa, halafu yote 9 10 anataka ya kununua 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…