bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,776
- 1,464
Hawa jamaa wa Astra Insurance ni hatari kwenye secta ya Bima. Wamepiga mahela mengi kwa kushirikiana na Makampuni ya serikali.
Wamekiua wakipata tenda zote za mashirika kwa kumtumia afisa usalama wa zamani.
Cha kusikitisha hii ni Kampuni ya Kenya lakini Mashirika ya Umma hayajali makampuni ya wazalendo na wanashirikiana na Astra kukwapua bila ya huruma.
Kule TPA wamepiga deal sana , TTCL NA BOT Kote wamepiga deal Pamoja na kwenye Mifuko yote ya Hifadhi.
Hii Kamapunihaijali kufata makubaliano ya taasisi za Bima kuhusu rates za bima na huwa wana charge rates za chini kabisa na makampuni ya bima hawafanyi kitu kutokana na vitisho kwa huyo jamaa wao wa usalama wa zamani.
Kutokana na kucharge chini ya kiwango hupata wateja wengi. Na tenda nyingi na kuikosesha serikali mapato ya VAT Kama angefata rates zilizo kubaliwa..
Cha ajabu ni kama ana ogopwa ogopwa hivi huku makampuni mengine yakilia lia tu kuwa hawapati tenda za makampuni ya serkali .
Lazima serikali ichukue hatua kulinda mapato yake na kuilinda secta ya Bima ambayo anaiyumbisha