Azam ni dubwana Fulani hivi kubwa,mnahangaika sanaKweli Kampuni hii imejipambanua katika kuzalisha vyakula kwa matumizi ya binadamu ulimwenguni.Wakati nikiwa Uholanzi/Amsterdam niliweza kukutana na bidhaa km unga , biscuits nk zenye nembo ya Azam/Bakhresa Tz.Nilifurahi na kupongeza juhudi za mwekezaji mzawa.
Tofauti na nilivyotarajia kuona nikiwa hapa Tanzania ni kuona usafirishaji,upokeaji na huifadhi wa malighafi ya matunda km maembe,machungwa nanasi,ukwaji nk hapo Kiwandani Mwandege Wilaya ya Mkuranga.Shehena za matunda zinaozea kwenye magari yangojeao kuingia ndani.Harufu mbaya ,mainzi,mafunza yametapakaa.Yanatia kinyaa sana.Hali hii inahatarisha afya za walaji.Kwa machache boredsha huduma zenu
Yemwa Wabhonye!!View attachment 2513037
View attachment 2513038
Unaona wanyarwanda hao wasafi hatari na bidhaa zao bora juice ya embe sio nzito kama matope mfano wa ile ya azam hao inyange bidhaa zao ni bora Tanzania hatuwafikii
Watanganyika na ujuha wa kutukuza vya nje,Rwanda pa kulima mahindi hawana,hayo maembe,machungwa na mananasi wanatoa wapi!?View attachment 2513041
View attachment 2513042
Wenzake wanatengeneza juice ya machungwa na nanasi huko tena kwa matunda halisi yeye analeta janja janja tu
Watanganyika na ujuha wa kutukuza vya nje,Rwanda pa kulima mahindi hawana,hayo maembe,machungwa na mananasi wanatoa wapi!?
Huwezi kuwafananisha azam na hao inyange wewe,View attachment 2513041
View attachment 2513042
Wenzake wanatengeneza juice ya machungwa na nanasi huko tena kwa matunda halisi yeye analeta janja janja tu
Huwezi kuwafananisha azam na hao inyange wewe,
Ubora umepimaje hadi ukajua uko juu kuliko Azam?View attachment 2513037
View attachment 2513038
Unaona wanyarwanda hao wasafi hatari na bidhaa zao bora juice ya embe sio nzito kama matope mfano wa ile ya azam hao inyange bidhaa zao ni bora Tanzania hatuwafikii
Kiswahili cha wapi hiki mtoto wa kiume? Haijakaa sawa sawa.Wabongo buana.