Kampuni ya Acacia yalipa kodi bilioni 120 TRA

Gazeti la HABARI LEO jana liliandika.Mimi sisomi sana magazeti lakini hili limenigusa,swali langu ni kampuni ya Mwadui Gold mines inalipa shilingi ngapi maana tangu nimejitambua naisikia inachimba Dhahabu na Almasi mpaka leo takribani zaidi ya miaka 50.
Shule umekimbia
Maisha yamekushinda
Bado unakaa kwa mama
Hujui kusoma wala kuandika
Alafu unakaa kupiga umbea eti **** inalipa kodi sh.ngapi? WTF
ukishajua then what?
Rudi shule kwanza kijana
 
mwadui hakujawahi kuchimbwa dhahabu
 
Walipe zote maana na sikia sikia wanataka kuuza biashara kwa kampuni nyingine (Endeavour Mining)
 
Mkuu swali lako ni zuri, najua umechanganya vitu ila nimekuelewa. Hata mimi ningependa kujua petra diamond,hapo mwadui wanalipa kiasi gani cha kodi kwa mwaka.
 
Shule umekimbia
Maisha yamekushinda
Bado unakaa kwa mama
Hujui kusoma wala kuandika
Alafu unakaa kupiga umbea eti **** inalipa kodi sh.ngapi? WTF
ukishajua then what?
Rudi shule kwanza kijana
MMMMHHHH
 
Mkuu swali lako ni zuri, najua umechanganya vitu ila nimekuelewa. Hata mimi ningependa kujua petra diamond,hapo mwadui wanalipa kiasi gani cha kodi kwa mwaka.
ASANTE WALAU NIMELIJUA JINA SAHIHI
 
Back
Top Bottom