kampuni wanao tengeneza app za adroid na apple store

malackmramba

Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
8
Reaction score
4
habari za kwenu me nahitaji kupata kujuwa garama za kutengeneza app za mobile.ningependa pia kujuwa garama za app na kampuni nzuri ambazo wanatengeza
 
Ata mimi pia natafuta kampuni mana hawa wanaofanya kazi binafsi wababaishaji na pia hii sector kuna matapeli wengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…