Habar wakuu
Natafuta kitabu cha kampuni ni dhahabu ila sijuwi mwandishi ni nani,nataka niwasaidie wafanyakazi wangu kujua namna ta kuendesha kampuni, hope hicho kitabu kitawasaidia kujua mawili matatu kuhusu maswala ya kampuni.
habari KIN NIGGA vipi ulifanikiwa pata hicho kitabu. kweli ilikuwa sikijui ila nimetafuta nimepata ni kizuri kweli kwa mtu yeyote anaetaka kufanya biashara kufanya. ila ningependa kushare ili jamii ya jamiiforums waweze kusoma na kuelewa abcd....