Kampuni mbili zinasoma kwenye line (chip) moja

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,026
Reaction score
4,036
Habari zenu,
Tumeshuhudia kampuni za mitandao ya simu zikishirikiana (kufanya kazi) kwa namna tofauti tofauti. Mfano mzuri ni hili la juzi la Tigo na Zantel kuungana na kushare karibu huduma zote muhimu za simu.

Juzi nimekutana na jambo la ajabu katika maswala hayo na sijapata majibu mpaka sasa!

Naanza stori,
Jamaa yangu mmoja ana laini yake ya Vodacom ambayo anatumia siku zote hapa kijijini sasa juzi akaenda sehemu (kijiji jirani) katika harakati zake za maisha.

Baada ya muda fulani akakuta laini yake ya Vodacom kwenye screen ya simu inasomeka airtel. Jamaa anasema hakushtuka akajua ni maswala ya minara tu (yaani aliweka halotel na Vodacom lakini sasa ikawa inasomeka/inaonekana ni halotel na airtel.

Kubwa la kushangaza zaidi ni pale aliponunua vocha ya Vodacom na ikakataa kuingia kwenye laini hiyo lakini akajaribu kuweka vocha ya airtel ikakubali akajiunga kifurushi kabisa na kuwasiliana.

Wakati wa kurudi nyumbani alifika sehemu laini ikajirudisha kusoma Vodacom na akaendelea na huduma za kila siku watoazo Vodacom.

Tukio hilo limeniacha njia panda halafu laini yenyewe nilipojaribu kuichunguza nikagundua kuwa siyo ya kawaida sana (kama laini nyingine za voda) kiasi kwamba mtu hawezi kuamini haraka kwamba ni voda akiiangalia.

Nyongeza na hilo,
Kuna jamaa mwingine voda yake akiweka ndani muda mrefu siku akisema aichukue aweke hewani anakuta ofa ya dakika na mb za kutosha! Mpaka jamaa ameshazoea anaitoa laini anaficha ndani hata miezi miwili kisha anaiweka tena hewani (na mchezo umekuwa ni huo kila dakika za bure zinapokata).
 
Hiyo inaitwa roaming. Ni makubaliano kati ya telecom operators, yule operator asiye na network infrastructure eneo fulani kutumia network infrastructures za operator mwingine kuwezesha subscribers wake kuwasiliana. Ila billing /charging mara nyingi huwa juu kwenye roaming
 
Hilo nimelizoea kwenye Safaricom ya Kenya na Vodacom tz.
Kuanzia Namanga border hadi unavuka voda itasoma vodacom na sababu kuu wana ushirikiano.
Hili la airtel ni jipya kwangu
 
Sio jambo jipya.
Tigo na zantel zimenunuliwa na mtu mmoja na zimeunganishwa.
Hao wwngine wna makubaliano yao
 
Habari zenu,
Tumeshuhudia kampuni za mitandao ya simu zikishirikiana (kufanya kazi) kwa namna tofauti tofauti. Mfano mzuri ni hili la juzi la Tigo na Zantel kuungana na kushare karibu huduma zote muhimu za simu.

Juzi nimekutana na jambo la ajabu katika maswala hayo na sijapata majibu mpaka sasa!

Naanza stori,
Jamaa yangu mmoja ana laini yake ya Vodacom ambayo anatumia siku zote hapa kijijini sasa juzi akaenda sehemu (kijiji jirani) katika harakati zake za maisha.

Baada ya muda fulani akakuta laini yake ya Vodacom kwenye screen ya simu inasomeka airtel. Jamaa anasema hakushtuka akajua ni maswala ya minara tu (yaani aliweka halotel na Vodacom lakini sasa ikawa inasomeka/inaonekana ni halotel na airtel.

Kubwa la kushangaza zaidi ni pale aliponunua vocha ya Vodacom na ikakataa kuingia kwenye laini hiyo lakini akajaribu kuweka vocha ya airtel ikakubali akajiunga kifurushi kabisa na kuwasiliana.

Wakati wa kurudi nyumbani alifika sehemu laini ikajirudisha kusoma Vodacom na akaendelea na huduma za kila siku watoazo Vodacom.

Tukio hilo limeniacha njia panda halafu laini yenyewe nilipojaribu kuichunguza nikagundua kuwa siyo ya kawaida sana (kama laini nyingine za voda) kiasi kwamba mtu hawezi kuamini haraka kwamba ni voda akiiangalia.

Nyongeza na hilo,
Kuna jamaa mwingine voda yake akiweka ndani muda mrefu siku akisema aichukue aweke hewani anakuta ofa ya dakika na mb za kutosha! Mpaka jamaa ameshazoea anaitoa laini anaficha ndani hata miezi miwili kisha anaiweka tena hewani (na mchezo umekuwa ni huo kila dakika za bure zinapokata).

Ushishangae ni kawaida hiyo kitu inaitwa Roaming nianze kwa kueleza Roaming kwa urahisi

Roaming ni kile kitendo cha kutoka kwenye eneo lenye covarge ya network yako(Mfano unatoka eneo lenye network ya vodacom ) na kwenda eneo ambalo halina coverage ya network yako lakin huko ambako hakuna coverage ya network yako unakuta kuna network nyingne zinafnya kazi(Mfano unakuta Airtel inafnya kaz lakin vodacom haifany kazi)

sasa kinatokea n unakuta provider wako(vodacom )anakua ambeomba access ya network ya mtu mwngne ila kuweza kukurahisishia wewe mteja wake usihangaike kubadili lain na kuweka lain ya airtel anacho fanya nikutumia mawimbi ya airtel na minara ya airtel kukupa wewe mawasiliano na inatokea automatic coz unakuta wao wamesha kubaliana

Matumiz ya Roaming ni pale mtu anapo kwenda eneo tofauti na provider wake hapo inakua activeted automatically labda kama wewe umezima

Ukienda Marekani huo huo mtandao wa vodacom unakua unasoma ila hua unasoma AT&T na mpesa inakua inafanya kaz vzr kabisa na unaweza ukatuma hela Tz ila sio kwa menu ya kawaida tulio zoea inakua inafanya kaz kupitia menu ilipo kwenye settings

Kama umewah kwenda Dar uwanja wa ndege especially ndege za kwenda nje ya nchi unakuta kuna matangazo ya vodacom yanakwambia kabisa hajina haja ya kubadil lain kama unatoka nje ya nchi wana partenrs wao huko huko unapo kwenda hata kama unaenda Japan lain yako ya vodacom itafanya kaz na internet itafanya kaz na itasoma mtandao wa japan

Ni kama ma bank ukiwa na card ya NMB na umeenda eneo ambalo halina bank ya NMB card yako hiyo hiyo unaweza ukatoa hela kwenye ATM ya bank za kigen inayo support mastercard hata ukiwa na card ya visa ya CRDB ukaenda kutoa hela kwenye ATM ya NBC hela zinatoka

ushingae
ni vitu vya kawaida ndo mana wanasema vodacom yakishua kama mtu wa masafari ya nje lazma utajkuta unalazmkika kutumia vodacom
 
Attachments

  • IMG_5748.jpg
    IMG_5748.jpg
    42.5 KB · Views: 22
  • IMG_5749.jpg
    IMG_5749.jpg
    28.3 KB · Views: 20
  • IMG_5750.jpg
    IMG_5750.jpg
    16.2 KB · Views: 15
  • IMG_5751.jpg
    IMG_5751.jpg
    22.4 KB · Views: 15
  • IMG_5753.jpg
    IMG_5753.jpg
    21.1 KB · Views: 14
  • IMG_5752.jpg
    IMG_5752.jpg
    21.9 KB · Views: 16
  • IMG_5754.jpg
    IMG_5754.jpg
    26.4 KB · Views: 20
  • IMG_5755.jpg
    IMG_5755.jpg
    15.7 KB · Views: 18
  • IMG_5756.jpg
    IMG_5756.jpg
    21.1 KB · Views: 22
Mnaniambia ni kawaida lakini huo ukawaida sioni mkiuelezea hata... vipi bana?
 
Ushishangae ni kawaida hiyo kitu inaitwa Roaming nianze kwa kueleza Roaming kwa urahisi

Roaming ni kile kitendo cha kutoka kwenye eneo lenye covarge ya network yako(Mfano unatoka eneo lenye network ya vodacom ) na kwenda eneo ambalo halina coverage ya network yako lakin huko ambako hakuna coverage ya network yako unakuta kuna network nyingne zinafnya kazi(Mfano unakuta Airtel inafnya kaz lakin vodacom haifany kazi)

sasa kinatokea n unakuta provider wako(vodacom )anakua ambeomba access ya network ya mtu mwngne ila kuweza kukurahisishia wewe mteja wake usihangaike kubadili lain na kuweka lain ya airtel anacho fanya nikutumia mawimbi ya airtel na minara ya airtel kukupa wewe mawasiliano na inatokea automatic coz unakuta wao wamesha kubaliana

Matumiz ya Roaming ni pale mtu anapo kwenda eneo tofauti na provider wake hapo inakua activeted automatically labda kama wewe umezima

Ukienda Marekani huo huo mtandao wa vodacom unakua unasoma ila hua unasoma AT&T na mpesa inakua inafanya kaz vzr kabisa na unaweza ukatuma hela Tz ila sio kwa menu ya kawaida tulio zoea inakua inafanya kaz kupitia menu ilipo kwenye settings

Kama umewah kwenda Dar uwanja wa ndege especially ndege za kwenda nje ya nchi unakuta kuna matangazo ya vodacom yanakwambia kabisa hajina haja ya kubadil lain kama unatoka nje ya nchi wana partenrs wao huko huko unapo kwenda hata kama unaenda Japan lain yako ya vodacom itafanya kaz na internet itafanya kaz na itasoma mtandao wa japan

Ni kama ma bank ukiwa na card ya NMB na umeenda eneo ambalo halina bank ya NMB card yako hiyo hiyo unaweza ukatoa hela kwenye ATM ya bank za kigen inayo support mastercard hata ukiwa na card ya visa ya CRDB ukaenda kutoa hela kwenye ATM ya NBC hela zinatoka

ushingae
ni vitu vya kawaida ndo mana wanasema vodacom yakishua kama mtu wa masafari ya nje lazma utajkuta unalazmkika kutumia vodacom
Unyama mwingi bro
 
Voda wakupe kazi ya masoko mkuu, umeeleza vizuri sana
 
Habari zenu,
Tumeshuhudia kampuni za mitandao ya simu zikishirikiana (kufanya kazi) kwa namna tofauti tofauti. Mfano mzuri ni hili la juzi la Tigo na Zantel kuungana na kushare karibu huduma zote muhimu za simu.

Juzi nimekutana na jambo la ajabu katika maswala hayo na sijapata majibu mpaka sasa!

Naanza stori,
Jamaa yangu mmoja ana laini yake ya Vodacom ambayo anatumia siku zote hapa kijijini sasa juzi akaenda sehemu (kijiji jirani) katika harakati zake za maisha.

Baada ya muda fulani akakuta laini yake ya Vodacom kwenye screen ya simu inasomeka airtel. Jamaa anasema hakushtuka akajua ni maswala ya minara tu (yaani aliweka halotel na Vodacom lakini sasa ikawa inasomeka/inaonekana ni halotel na airtel.

Kubwa la kushangaza zaidi ni pale aliponunua vocha ya Vodacom na ikakataa kuingia kwenye laini hiyo lakini akajaribu kuweka vocha ya airtel ikakubali akajiunga kifurushi kabisa na kuwasiliana.

Wakati wa kurudi nyumbani alifika sehemu laini ikajirudisha kusoma Vodacom na akaendelea na huduma za kila siku watoazo Vodacom.

Tukio hilo limeniacha njia panda halafu laini yenyewe nilipojaribu kuichunguza nikagundua kuwa siyo ya kawaida sana (kama laini nyingine za voda) kiasi kwamba mtu hawezi kuamini haraka kwamba ni voda akiiangalia.

Nyongeza na hilo,
Kuna jamaa mwingine voda yake akiweka ndani muda mrefu siku akisema aichukue aweke hewani anakuta ofa ya dakika na mb za kutosha! Mpaka jamaa ameshazoea anaitoa laini anaficha ndani hata miezi miwili kisha anaiweka tena hewani (na mchezo umekuwa ni huo kila dakika za bure zinapokata).
Hiyo ni kawaida ndugu mfano Mimi mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka karagwe kwenda ngara kupitia njia ya kutokezea Benako. Tulivyofika sehemu laini yangu ya Tigo ikawa inasoma Airtel Rwanda.
Kwahiyo hiyo inaitwa Roaming.
 
Ushishangae ni kawaida hiyo kitu inaitwa Roaming nianze kwa kueleza Roaming kwa urahisi

Roaming ni kile kitendo cha kutoka kwenye eneo lenye covarge ya network yako(Mfano unatoka eneo lenye network ya vodacom ) na kwenda eneo ambalo halina coverage ya network yako lakin huko ambako hakuna coverage ya network yako unakuta kuna network nyingne zinafnya kazi(Mfano unakuta Airtel inafnya kaz lakin vodacom haifany kazi)

sasa kinatokea n unakuta provider wako(vodacom )anakua ambeomba access ya network ya mtu mwngne ila kuweza kukurahisishia wewe mteja wake usihangaike kubadili lain na kuweka lain ya airtel anacho fanya nikutumia mawimbi ya airtel na minara ya airtel kukupa wewe mawasiliano na inatokea automatic coz unakuta wao wamesha kubaliana

Matumiz ya Roaming ni pale mtu anapo kwenda eneo tofauti na provider wake hapo inakua activeted automatically labda kama wewe umezima

Ukienda Marekani huo huo mtandao wa vodacom unakua unasoma ila hua unasoma AT&T na mpesa inakua inafanya kaz vzr kabisa na unaweza ukatuma hela Tz ila sio kwa menu ya kawaida tulio zoea inakua inafanya kaz kupitia menu ilipo kwenye settings

Kama umewah kwenda Dar uwanja wa ndege especially ndege za kwenda nje ya nchi unakuta kuna matangazo ya vodacom yanakwambia kabisa hajina haja ya kubadil lain kama unatoka nje ya nchi wana partenrs wao huko huko unapo kwenda hata kama unaenda Japan lain yako ya vodacom itafanya kaz na internet itafanya kaz na itasoma mtandao wa japan

Ni kama ma bank ukiwa na card ya NMB na umeenda eneo ambalo halina bank ya NMB card yako hiyo hiyo unaweza ukatoa hela kwenye ATM ya bank za kigen inayo support mastercard hata ukiwa na card ya visa ya CRDB ukaenda kutoa hela kwenye ATM ya NBC hela zinatoka

ushingae
ni vitu vya kawaida ndo mana wanasema vodacom yakishua kama mtu wa masafari ya nje lazma utajkuta unalazmkika kutumia vodacom
Umeelezea fresh kabisa, sio kama yule Mandonga wa TRAB na TRAT
 
Hiyo inaitwa roaming. Ni makubaliano kati ya telecom operators, yule operator asiye na network infrastructure eneo fulani kutumia network infrastructures za operator mwingine kuwezesha subscribers wake kuwasiliana. Ila billing /charging mara nyingi huwa juu kwenye roaming
Nakumbuka nilikuwa SA nikawa naweza kuingiza vocha za TZ za Vodacom
 
Back
Top Bottom