Kampuni Ipi ni Noma kati ya Hizi

Kampuni Ipi ni Noma kati ya Hizi

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
1,531
Reaction score
1,138
Wana Jf nataka kufahanishwa Baina ya Makampuni haya ya Ujenzi ambayo nayaona yanatawala sana hapa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla na Wamiliki wake ni kina nani? Na lipi lina zana kwa maana ya vifaa bora vya ujenzi, rasilimali watu, kazi bora na nk, Lipi lipo juu kiufanisi?

(i) Estim Construction
(ii) CRJE
(iii) Group Six International

Nawasilisha!!
 
wachina na wahindi mhii, ukiwasimamia vizuri wote wanapiga kazi safi sana, ila ukicheka nao ndo hivo tena
 
Wana Jf nataka kufahanishwa Baina ya Makampuni haya ya Ujenzi ambayo nayaona yanatawala sana hapa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla na Wamiliki wake ni kina nani? Na lipi lina zana kwa maana ya vifaa bora vya ujenzi, rasilimali watu, kazi bora na nk, Lipi lipo juu kiufanisi?

(i) Estim Construction
(ii) CRJE
(iii) Group Six International

Nawasilisha!!
Estim ni ya jeetu patel
 
Nenda kaulize Brela.
 
Serengeti Breweries ndio kiboko cha kujitangaza. Tangazao lao la bia mpya ya sengereti limewagusa mpaka chekechea mitaani.

Ingawa bidhaa yao ina ukomo wa umri wa watumiaji kama sikosei miaka 18 kuelekea mpaka ukipenda kaburini. Cha kushangaza leo nimepishana na mtoto kama wa miaka 5 hivi ua chini ya hapo kidogo, akiamba wimbo wa "lete bia ninywe" wahusika mtusaidie tuokoe taifa la kesho.

Nimechomekae tu lakini, kwa sauti ya mh Rais Magufuli.

Na washawasha!
 
Estim wapo poa ukija kwenye swala la ubora.

Group Six ni bora linapokuja swala la kazi nyingi ila ubora ni ziro. Hawa unaweza ukakuta wana project hata zaidi ya 10 zinaendelea kwa wakati mmoja.
 
Bra

Braza umepatwa na mihangaiko hipi....mbona unajibu kama unamasrahi binafsi?
Brela ndio wanaosajili makampuni, wanawajua wamiliki na uwezo wa makampuni walioyasajili(kama hakuna ubabaishaji).

Sasa kumshauri kupata habari mahali ambapo kuna reliable information ni maslahi binafsi? Au ndio sawa ukimwambia mtu unaumwa halafu akakushauri nenda hospitali(pengine akakuelekeza hospitali fulani) basi ana maslahi na hiyo hospitali?

Msiwe wavivu sana wa kufikiri.
 
Serengeti Breweries ndio kiboko cha kujitangaza. Tangazao lao la bia mpya ya sengereti limewagusa mpaka chekechea mitaani.

Ingawa bidhaa yao ina ukomo wa umri wa watumiaji kama sikosei miaka 18 kuelekea mpaka ukipenda kaburini. Cha kushangaza leo nimepishana na mtoto kama wa miaka 5 hivi ua chini ya hapo kidogo, akiamba wimbo wa "lete bia ninywe" wahusika mtusaidie tuokoe taifa la kesho.

Nimechomekae tu lakini, kwa sauti ya mh Rais Magufuli.

Na washawasha!
 
Estim wapo poa ukija kwenye swala la ubora.

Group Six ni bora linapokuja swala la kazi nyingi ila ubora ni ziro. Hawa unaweza ukakuta wana project hata zaidi ya 10 zinaendelea kwa wakati mmoja.
Mkuu vp CRJE!!
 
Acha kuchanganya mambo Subash na JEETU ni watu wawili tofauti!! Subash ndio mwenye ESTIM; huyu ni mkweree ndugu yake babu wa Msoga!!
Between hao nani ana miliki Sayona na Kiboko (Motsun Group )
 
Back
Top Bottom