summry mbona wako poa sana?au nao wameshaanza kupata majanga mengi kama scandinavia express iliyokufaga?Nadhani ndio kampuni zinazoongoza kwa CHINJA CHINJA;
SUMRY BUS.
MOHAMEDI TRANS
SAI BABA.
Nini kinaendelea na majina haya?!
Ina mana hood hujaiona au?
hapo kwenye sahaulism ungeongeza na kumbukalism.Champion je au sahaulism??
Angalia logo nyuma ya basi