Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Nchini Uganda kuna kampuni nyingi zilizosajiliwa kabisa iwapo unataka kununua gari kutoka sehemu rasmi au kwa mtu binafsi unawalipa fedha fulani kisha wao wanalikagua gari na kukupatia ripoti kabla ya kununua bila kutazama sura ya gari kwa nje nk.
Wale jamaa wanakagua mpaka suala la kama gari ni la wizi au la.Hawahusiki na kuuza magari bali wao ni kukagua tu.
Sasa Swali.
Hivi Tanzania kuna kampuni ya namna hii? kama ipo ipo wapi au website zao.
Asante