Miss Champagne
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,157
- 6,309
Kati ya watu wangu wa karibu ndugu jamaa na marafiki pia majirani nnaowafahamu, yaani kati ya familia 10, watano hawana kazi.
Kuna ambao kampuni zimekufa kabisa, kuna ambao zimeyumba kimapato so wamepunguzwa na kuishia kubaki nyumbani.
Pata picha baba una watoto watatu Wanakuangalia wewe na kazi ndio basi huna. Unajiskiaje?
Huyu mzee mwambieni akiua sekta binafsi hawakomoi wamiliki tu Bali watanzania kwa maelfu wanaathirirka kwa kupoteza ajira zao..maisha na uchumi wa nchi unarudi nyuma.sekta binafsi zima mchango wake pia.
Kama anataka Serikali pekee ndo ishike usukani basi atoe ajira kwa wingi, chakushangaza hatoi na madaraja hapandishi, mishahara hapandishi mwaka wa sita huu. Ukilalamika maslahi duni anakufuata huko na kukuharibia. Tumueleweje?
Jali basi upande unaouthamini wewe wa serikali hutaki! Binafsi unaua, Serikali ungandamiza tukueleweje?
Vijana kwa maelfu wako hopeless mitaani, wakifikiria serikali imewatupa, wakiamua kwenda binafsi bado serikali yao hiyohiyo inakuja kuwaharibia waende wapi?