M mbumba Member Joined Oct 20, 2015 Posts 49 Reaction score 8 Feb 28, 2016 #1 Wana jamii hali zenu naomba kwa yeyote anae jua shirika au kampuni ya kumdhamini mkulimu katika Mkoa WA arusha Mimi Nina Shamba natafuta wadhamini WA kunipatia mbegu kufadhili kilimo changu Cha mahindi na maharage naomba mwenye kuyajua mnisaidia
Wana jamii hali zenu naomba kwa yeyote anae jua shirika au kampuni ya kumdhamini mkulimu katika Mkoa WA arusha Mimi Nina Shamba natafuta wadhamini WA kunipatia mbegu kufadhili kilimo changu Cha mahindi na maharage naomba mwenye kuyajua mnisaidia