hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,925 Reaction score 9,758 Mar 3, 2013 #1 Wakuu mambo vipi? naitaji kampuni ambayo inaweza kununua Diamonds nina Mzigo wa kutosha.. kama kuna mtu anafahamu kampuni yoyote ambayo inafanya hiyo biashara please anijulishe kwa PM
Wakuu mambo vipi? naitaji kampuni ambayo inaweza kununua Diamonds nina Mzigo wa kutosha.. kama kuna mtu anafahamu kampuni yoyote ambayo inafanya hiyo biashara please anijulishe kwa PM
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Mar 3, 2013 #2 Uko wapi?