Nilidhani huyu jamaa ana busara lkn toka alipomwita msemaji wa klabu ya simba wakati ule eti ni karani, bora angeendelea kuozea ndani tu huko. Sasa ndo anaongeza ukilaza wake eti anatembea na mguu wa kuku, kumbe wao ndo wanaleta ubabe huko igunga halafu wanasingizia Chadema wanaleta fujo nyambaaaaaaaaaaaf