Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,394 Reaction score 7,241 Jun 21, 2020 #1 Mbona watu hawavai mask Wala kuobserve social distance, au corona imeisha huko?
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,352 Jun 21, 2020 #2 Trump campaign asks supporters to sign coronavirus waiver ahead of rally Kabla ya kuingia ukumbini kila mmoja wao lazima atie saini kwenye 'Corona Virus Waiver'. Ambayo inamuondolea Trump na timu yake ya kampeni lawama zote iwapo mtu ataugua au afe kwasababu ya maambukizi ya COVID-19 kwenye mikusanyiko hiyo.
Trump campaign asks supporters to sign coronavirus waiver ahead of rally Kabla ya kuingia ukumbini kila mmoja wao lazima atie saini kwenye 'Corona Virus Waiver'. Ambayo inamuondolea Trump na timu yake ya kampeni lawama zote iwapo mtu ataugua au afe kwasababu ya maambukizi ya COVID-19 kwenye mikusanyiko hiyo.