Liverpool2005
Member
- Jul 20, 2011
- 43
- 39
una sura ya kinafikiNo siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
lowasa yupo zenji kwenye uzinduzi wa kampeni za maalimu seif leo .
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
Magufuli kakimbizwa hadi hana hamu ya siasa.
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
Afadhali kuliko Escrow!!pesa inasumbua kidogo,mauzo ya ng'ombe huko kenya bado hayajafanyika