Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini waTZ wenzangu.
Sasahivi kuna mtifuano mkali maeneo mbalimbali nchini kati ya CCM na UKAWA kuhusu kampeni za chaguzi ndogo za marudio zinazoendelea nchini kwa ngazi za Ubunge na Udiwani.
Kampeni hizi zimekuja kipindi muafaka kwa upinzani,hasa ikizingatiwa Mh Rais alishakataza mikutano ya hadhara nchini kote kwa kigezo kwamba sasahivi ni wakati wa kufanya kazi tu,na kwamba wasubiri mwaka 2020 ilihali mikutano ya ndani pekee ikiruhusiwa.
Msimamo huo wa Mh Rais ulileta makelele na minung'uniko kwa UKAWA (Upinzani) kwa kile kilichoelezwa kwamba,wameiminya demokrasia.
Sasa basi, wakati huu wa kampenzi za uchaguzi mdogo wa marudio maeneo mbalimbali nchini, ndiyo unaowapa UKAWA fursa (bila nongwa) ya kutema cheche au kusema yale yote ambayo walitegemea kuyasema kwenye mikutano ya hadhara ambayo Mh Rais aliipiga marufuku.Wakati ni sasa, hii ni kete ya mwisho kwao UKAWA.
Tunendelea......